KIPESILE | 16 |
HTML-код
- Опубликовано: 13 апр 2025
- #10ontrending
Karibu katika Group letu la WhatsApp kwa USHAURI na MAONI binafsi kuhusu kazi zetu
chat.whatsapp....
#TwinsNationTz #aderymasta #kipesile #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #focusstudio16
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16#TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16 #BossMchawi #ChingaMedia #kichechecomedy #biggboss
Subscribe our RUclips channel for more Drama from Adery Masta Tanzania
Clam VEVO
Boss mchawi / 28 /
Boss episode 28
Boss mchawi ep28
Big boss
clam VEVO big boss 11
Clam VEVO comedy
LAST CARD 25
kp wa aquino
Kicheche comedy
Asma comedian
House Of Horror
horrorstory
wrong House 4
Wrong House 5
Mwanafurnzu WA Ajabu
snake Boss season 2 episode 16
Raha diamond
baba joan
wrong House 6
Shado tv
wrong HOUSE / 1 /
komasava
diamond komasava
Bhailam tv
Twins nation
mistake 7
Mweusi Family
nigeria movie plus
wake wenza
kicheche
Steve mweusi
Ndoro mjeshi
mjeshi kikofia
yanga tv
snake Boy 17
Simba Tanzania
nbs premier league
snake Boy l 16 l
Ngao ya jamii Tanga
azama tv
Boss Mchawi 17
Boss mchawi episode 17
Boss mchawi CHINGA media
Azam fc
Boss mchawi Ep 20
Luis Miquisson
Esomba onana goals
Penzi la mchawi
Cheka tu
Txdulla
Clam VEVO mwanafunzi mchawi
uchanbuzi wa kina
baraka mpenja
mpenja tv
clouds media
Boss
wasafi media
edigital
Wasafi festively 2023
jua kali
maisha magic bongo
#aderymasta #kipesile #TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16 Приколы
Ww mwalimu mgeni unachokitafuta utakipata tu kwa kipeslie hyoo ni 🔥🔥🔥 mwali mgeni.utaupoza nakauamby tena utaupoza kwa kipesile wp kipesile
Napenda sana hii nyimbo..background song 🎵 kipesile ooh...🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊sweet movie
Nina. Waombasananikubalienikuangaliakipesilebilabandonikimalizakuangalianitatumabandolenu
Ninzuri
Mast kama mast ushapigwa hap na mwamba kipeslie ni 🔥🔥🔥 ww ugopiiiiiii b mdog najikuta nachetu hap mm
Much love from KENYA..... I've been following each episode ..... I appreciate the entire team for the great creativity in you 💪
Series zetu pendwa hiz nd za kufunga mwaka 🎉🎉🎉🎉🎉adery up vizuri 🎉🎉🎉🎉🎉uschelewesh episode ya 17❤❤❤❤❤
Kipesile kiboko nakukubali mm kama uko pamoja namm gonga iyo❤❤❤❤
Kazi nzuri sana keep going brother adery 🎉🎉🎉
Hivi kawimbo ka kipesile tunakapataje
Kazi nzuli movie Kali sana Yan tangia nianze kufuatilia movie kipesile. Na group zima mmetisha sana mko vizuli namnajua shida mnachelewa sana dah ila Kazi Iko vizuli kipesile mchawi msomi😂😂😂
Safi sana nawafuatilia kutoka Kenya 'I say 'mko vzuri kwa kazi yenu, Mungu awalinde na mzidi kutuburudisha na kazi zenu nzuri jameni nmezipenda sana.
😂😂😂😂mwali mkuu ww utakaa urudie tena khaa nimecheka sana congenital jamani
Mzee Harima una kazi sana kwa huyo halima! hakika ckio la kfa alickii dawa hongeren sana kwa good job!
Hipo kazi😂😂😂😂kaka mdogo congratulations 👏 mungu hako nawe Kwa ushauri wako keep it up good work ❤️
Uzuri wenu, kazi mnatoa mapema vile inafaa nawapenda nyote hongera
Usiwa sifie sana wakafnya kma wana busati 😅
Weekwaniniumesemaivyo
Mwalimu mkuu kanyooshwa kweli😂😂...umenijengea siku kipesile
😂😂😂😂😂😂kaingia kwenye 18 ya mchawi kipesile
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka tu
Kazi poa chukua flower 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Eeeh kipesile hadar napenda anavyo igisa,Nani mwingne anamkupali aweke like,
Mm nilijuwa huyu halima hawezi ficha siri😂😂😂ona ss
Tujifunze jameni kupitia hii channel isikue tu tunaangalia kujiburudisha,,tujifunzeee bila kusahau Dua jameni muhimu kila wakati Mungu mbele❤❤❤❤
Wewe alima unajua venye mzee amefanya kzi kwako n swa tew sijasikia mbya ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kasikia poa
@dorothykemuma838 yeah🤣🤣
Huyu kipesile noma wallah
Tukiisubiri Kwa hamu wa noma san wapi like zao tukisonga plz ♥️♥️♥️♥️
Filamu nzuri na pia iko na masomo mengi xana,,Mkenya...Likes zko wap jamani..🎉🎉🎉🎉🎉
Dah mimi halima sjampenda kabisa muongo sana mzee wawtu anahangaika jamani mpaka huruma
nafwatilia kazi zenu, zuri bk from Kenya, Pokot ♥️
Sengo bana Yuko waph namkubali Uyo Dogo kinoma❤
Sema nini muvi kali hila tunaisubiri sana alafu inatoka vipande vifupi sana❤❤❤❤❤
🎉ohho!! Alima,kinywa cake kinamusumbuwa.
😂😂😂mwalimu mkuu umeyatibaa😂😂😂kipsile walai
Ila Kipesile 😂😂😂eti nakuomba niongeze fimbo 3 za mgongo😂😂😂
Wakwanza Leo from Kenya gonga likes kama upo kenya
Wa pili hapaa
Af kipesile leo umenifuharisha head master, wenye tumependezwa gonga like
Nzuri ❤🎉gonga like hapa
Mwenye anasinyika 😏na halima kwa domo lake kuliweka wazi weka like yko apa😂😂
Nipo nawe jamani, ananiudhi aisee😂😂
😂😂 anaboo sna na venye babake alitapatapa kumrudisha
@@thumasassijamani
Anasinyaa yan anaboo@@tesh523.
Subiri kitamramba tena muda sio mrefu
kazi Suri kipesile nataka sehemu 17 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪👍👍
Aki kipesile!! Head teacher anaambulia viboko!!
Jaman hizi series za mwez huu ni Bomba sana huku kipesile kule Dunia mara Siri ya huba duuh mtatuua 😂😂😂
Nenda kaangalie ubaya ubwela😂😂
@@HusnaKassim-mz4fsmagic school au😂😂😂😂
Mara 😂mission impossible
Usijisahaulishe mission impossible
Siri YA huba ipoje?
Asey Asante sana ❤na penda sana movie hii❤❤😂
Nimeipenda sanah sema episode ya 11kuendelea ndo hamjatutendea haki mngeweka jinsi mlivyoweka ya 1&10 ingependeza zaidi
Halima utakufa tena kwa domo lako badilikq basi ,unapambaniwa wewe hata huoni😂😂😂
Kipesile yaawa unashingua sana😂😂😂😂😂
Nakubali xan kipesile like kama zote
I really enjoy this movie when I'm watching I don't wish to be finish. Kazi jima❤❤❤🎉🎉
Dah!we kipesile we😂😂😂 kiboko mwalimu kaipatapata
😮 jamani hatariiiii
Weye Halima ukopubafu sana tena sana 🥺🥺🥺🇨🇩🇨🇩
Kipesile mnyama mkali😂😂😂😂😂
Baba kazi zuri nakupenda ❤❤
Mpo wenzangu namie mnaohesabu siku nakutunza mbs ili kipesile isiwapite❤
😂😂😂😂😂😂kipesile wewe ni 🔥💯💯💯
😂😂 kipesile, nimeona Kijiji kimoja mbeya umalila kinaitwa mwakipesile au ndo chimbuko😂😂
Mzee noma sana ogera .mzee nakubali sana Yuko siriasi
😂😂😂😂halima baba halima mfanye awe bubu, uyu ili umwokoe
😂😂😂😂kapingwa kipesle na mwenye kuumia ni mwalim 😢😢
Nice work,,,,,,,,,,ikooooo poa kabisaaaaaa,na yenye kusisimua malaikaaaaaa kwa utamuuuu wake ilivoooo leoooo,shukran Mr adery master,mpangiliooo mzuriii sanaaa jinsiii ulivooo upangaaaaaa,,,,,,,,,,,,basi huku tukisubiria muendelezaaaa ,tafadhaliiiiii usikawie sanaaa,kunaaaaa utaaamuuuuu kilaaaa ikizidiiii kusongaaa mbeleeee,,,,,,,,,,,,tumefurahiii ,,,,,,,.....asanteniiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,muendeeeelezzzooooooooooooooo pls
Mnajutaidi sana nimewapenda sana ❤❤
Napenda hii movie Sana 😂
Nimekuwa wa mwisho,Kama unampenda kipesi like zangu
Ila huyu Alima Ana umbea 😂😂😢
Mwalimu mkuu kajikuta matatani😂😂😂
Halima anogea sana haezitunza siri naye kipesile ni mnyama kweli kweli
Kazi nzuri Kipesile🇹🇿
Marasta bhana yeye muda wote 😂😂😂😂
Namba moja like zanguuuu❤
ongeraa kwa kuwa wa kwanz kweny movie lkn ni wa mwisho kweny maisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤
♥️♥️♥️♥️
@marykanumba ila wewe umenifanya nicheke🤣
@@marykanumbaHupendagi amani 🤣🤣
Mwalimu mkuu akapata kijapo kali sana
Pole mwalimu mkuu jaman maana hatr hiy❤❤❤❤🎉
Pongezi kwako Mr. Adery na family yako nzima
Kwa wale walio NAMI kwa ajili yakumpa pongezi Mr. Adery weka alam tujuane
Mimi hapa mkuu
Nipo
Mimi wa mwisho namie naomba like zangu ❤❤ nawapenda wote waigizaji na mashabiki ❤❤🎉🎉🎉
Heri Halima angeeachwa tu msikule,,yaaani domo lake halifungi,,na jinsi babake alivyojitahidi kwa udi na uvumba kumrudisha😢
Halima msenge sana kmmmmke
Huyu halima n mjinga saaaaaana bure kbsa 😢😢😢😢😢naona baba yako atakufa weeeeee😢
Kazinzuri sana kabisa
Mwalim hutakaa urudie kwakilichokukuta 😂😂😂😂😂
Nikose kulala lakini nisikose bundles 😅😅
😂😂😂mwalimu mkuu kula chuma hicho
Mm nampenda tu Shani ananibamba na kipesile❤❤
Mnachelewa sana kibesile
Show love from kenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kz nzur sana 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri hamcheleweshi nawakubali❤❤❤
Hodiiiii like zangu jmn mshangaz wenu
ila halimaa mdomoo unamponzaaa sanaaaa mweeeh
Jameni Mwalimu Mkuu 😂😂😂
Wakwanza leo nipen like zang
Kaz nzuriiii🎉🎉🎉🎉❤❤
Ila weee halima usiye sikia kita kukuta ki2❤❤
Halima ww ni bureeeee kabisa😢😢😢😢laiti ungejua vile baba kakupambania tena sio ww pekeyko hata wengine kawaokoa daa badilika basi utakufa mara hii na domo lako huez ficha siri unaboo
😂😂😂😂😂Anacho kitafuta atakipata sihaskii afe to 😅😅mchezo usonge mbele
Ama kweli halima hana shukrani sijui kwann hana friji kabisa baba kampambania lakini yeye ndo kwanza anatembeza umbea maadui wanajipanga
😂😂😂@@floranceflorance3923
😂😂😂😂 huyu halima mojinga
Heri angeachwa msikule basi
Halima ananikwaza😏
Mwalimu sikushauri ulid Bora ukafanye sehem njingine
Spear my ribs hapo kwa fimbo mambo vulai😅😅😅
Sema baba Halima hachekiii😅😅😅 sijamwon akichekaaaa
asante sana kwe kazi jamani
Huyu madam
Asali sana ksasi knasemekana bado kpo ,,
oy nakubali sana 😅😅
Ila halima😂😂😂😂😂
Leo nimewai nimekua wa 259 nipeni like ❤❤
Jamani kipesile Allah akulinde na akuongezee kipaji insha allah
Halima mpk anakera bola abebwe tena khaa
😂😂😂😂 mwalimu mkuu hauna kis mart😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Halima kumanin utakuwa humo saiv enheee😂😂😂 nigaiyeni na mie ay maini
By mnyama mkali Kipesile😅😅😅😂😂😂
Kipesile weye 😂😂😂😂